Mark 12:34

34 aIsa alipoona kwamba amejibu kwa busara, akamwambia, “Wewe hauko mbali na Ufalme wa Mungu.” Tangu wakati huo, hakuna mtu yeyote aliyethubutu kumuuliza maswali tena.

Al-Masihi Ni Mwana Wa Nani?

(Mathayo 22:41-46; Luka 20:41-44)

Copyright information for SwhKC